Breaking News

Your Ad Spot

Jan 18, 2017

KINANA AKUTANA NA BALOZI WA CHINA HAPA NCHINI LEO

Katibu Mkuu wa CCM, Abdurahman Kinana akimkaribisha Balozi wa China hapa nchini, Dk. Lu Young, alipofika katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya mazungumzo. Kulia ni Katibu wa NEC, Siasa na Ushirikiano wa Kimataifa, Kanali Mstaafu Ngemela Lubinza
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha katika ukumbi wa mazungumzo Balozi wa China hapa nchini Dk. Lu Young, alipowasili katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa China hapa nchini Dk. Lu Young, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam, leo
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimtambulisha Katibu mpya wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu Ngemela Lubinza, wakati wa mazungumzo yao, katika Ofisi Ndogo ya Makao makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Saalaam, leo. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages