.

MAJALIWA AFUNGUA DUKA LA DAWA LA MSD KATIKA HOSPITALI YA MPANDA

Jan 18, 2017Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Meja Jenerali Mstaafu, Rafael Muguga baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mpanda Januari  17, 2017 ambako alifungua duka la dawa la MSD. Wa pili kushoto ni Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo na kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Katavi, Muselem Said Abdallah. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Mpanda Mjini, Sebastian Kapufi baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mpanda .
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi na watumishi wa Halmashauri na Manispaa ya Mpanda na wananchi kwenye Ikulu ndogo ya Mapanda Januari .
Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akizungumza na Elizabeth Zephania , mmoja wa wazazi waliojifungua katika hospitali ya Mpanda wakati alipotembelea wodi ya wazazi ya hospitali hiyo
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimfariji Bw. Mussa Matemela anayemuuguza mwanae Emmanuel Sahani (3) wakati alipotembelea wodi ya watoto katika hospitali ya Mpanda .
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimfariji wanawake waliolazwa katika hospitali ya Mpanda wakiuguza watoto wao wakati alipotembelea wodi ya watoto katika hospitali hiyo .

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitembelea wodi ya watoto katika hopitali ya Mpanda ili kuwafariji wagonjwa na kusikiliza kero zao .
Wananchi wa Mpanda wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati aliopowahutubia kabla ya kuzindua duka la dawa la MSD katika hospitali ya Mpanda .Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa Mpanda kabla ya kufungua duka la dawa la MSD katika hospitali hiyo .
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (wa nne kulia) akikata utepe kuashiria  ufunguzi wa duka la dawa la MSD katika hospitali ya Mpanda . Kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Meja Jenerali Mstaafu, Rafael Muhuga na (wa nne kushoto) ni Mkurugenzi Mkuu wa MSD, Laurean Bwanakunu. wakwanza  Kulia ni Waziri wa Nishati na Madini , Profesa Sospeter Muhongo, Wapili kulia ni Mbunge wa mpanda Mjini, Sebastian Kapufi.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipiga makofi baada ya kufungua duka la dawa la MSD katika hospitali ya Mpanda Januari 17, 2017. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa MSD, Laurean Bwanakunu na kulia ni Mbunge wa Mapanda Mjini Sebastian Kapufi.

1A2800 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kakitazama dawa za bibadamu baada ya kufungua duka la dawa la MSD katika hospitali ya Mpanda , watatu kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa MSD, Laurean Bwanakunu na wapili kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Katavi, Muselem Said Abdallah.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kakitazama dawa za binadamu baada ya kufungua duka la dawa la MSD katika hospitali ya Mpanda . Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa MSD, Laurean Bwanakunu .
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipiga makofi baada ya kufungua duka la dawa la MSD katika hospitali ya Mpanda Januari 17, 2017. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa MSD, Laurean Bwanakunu na kulia ni Mbunge wa Mapanda Mjini Sebastian Kapufi.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa dini baada ya kufungua duka la dawa la MSD katika hospitali ya Mpanda
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi baada ya (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช