Breaking News

Your Ad Spot

Jan 11, 2017

MAJALIWA AFUNGUA UKUMBI WA SACCOS YA MELI NNE, ZANZIBAR

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa na  Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,  Mama Asha Seif Idd kabla ya kufungua ukumbi wa SACCOS ya Melinne  mjini Zanzibar ikiwa ni moja ya shughuli za sherehe ya Mapinduzi ya Zanzibar Januari 11, 2017
Waziri  Kassim Majaliwa , viongozi mbalimbali wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakimsikiliza  Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Idd wakati  alipozungumza  baada ya Waziri Mkuu kufungua SACCOS ya Melinne mjini Zanzibar Januari 11, 2017.
Baadhi ya wananchama wa SACCOS ya Melinne ya Zanzibar wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza baada ya kufungua ukumbi wa SACCOS hiyo Januari 11, 2017
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kufungua SACCOS ya Melinne mjini Zanzibar ikiwa ni moja ya shamrashamra  za sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar Januari 11, 2017. 
Waziri Mkuu,  Kassim Majaliwa na Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Idi,wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi na wanachama wa SACCOS ya Melinne ya Zanzibar baada ya kufungua ukumbi wao Januari 11, 2017. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Makamu wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Idd baada ya kufungua ukumbi wa SACCOS ya Melinne ya Zanzibar Januari 11, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages