Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akipokea kitabu kilichojikita katika
Tafiti ya Kazi za Sanaa za Tanzania kutoka kwa Balozi wa Uswisi nchini
Tanzania Bi. Florence Tinguely Mattli alipomtembelea Waziri huyo
ofisini kwake leo.
Waziri wa
Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,
Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akimsikiliza Balozi wa Uswisi nchini
Tanzania Bi. Florence Tinguely Mattli alipomtembelea ofisini kwake
mapema leo.
Waziri wa
Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,
Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akizungumza na Balozi wa Uswisi nchini
Tanzania Bi. Florence Tinguely Mattli alipofanya ziara ya kikazi ofisini
kwake leo. Kulia ni Mkuu wa Mahusiano wa ubalozi wa Uswisi nchini Bi.
Romana Tadeschi.
Waziri wa
Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,
Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akizungumza na Balozi wa Uswisi nchini
Tanzania Bi. Florence Tinguely Mattli (hayupo pichani) alipotembelewa na
Balozi huyo ofisini kwake leo.
James Katubuka Mwanamyoto,
Afisa Habari,
Ofisi ya Rais-Utumishi,
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269