.

MTANANGE WA SINMBA YA JANG'OMBE BOYS LEO

Jan 9, 2017

MSHAMBULIAJI wa Timu ya Simba Shiza Kichuya akijaribu kumpita beki wa Timu ya Jangombe Boys Ali Humud, wakati wa mchezo wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Simba ikiongoza bao 2-0.
MSHAMBULIAJI wa timu ya Simba Shiza Kichuya akimpita beki wa Timu ya Jangombe Boys Muharami Issa.wakati wav mchezo wao wa mwisho kuwania kuingia nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi  mchezo unaofanyika uwanja wa amaan zanzibar Timu ya Simba ikiongoza bao 2-0 (Picha zote na Othman Maulidi

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช