Breaking News

Your Ad Spot

Jan 16, 2017

MWILI WA ALIYEKUWA WANDISHI WA UHURU AMINA ATHUMANI WAAGWA LEO JIJINI DAR ES SALAAM

Waombolezaji wakitoa ndani sanduku lenye mwili wa aliyekuwa mwandishi wa habari za michezo wa Kampuni ya Uhuru Publications Ltd, Wachapishaji wa Magazeti ya Uhuru, Mzalendo na Burudani, Amina Athumani, kwa ajili ya kuswaliwa, wakati wa kuagwa mwili huo, Kipunguni, Dar es Salaam, leo, kabla ya kusafirishwa kwenda Lushoto mkoani Tanga kwa ajili ya mazishi. Amina alifariki dunia jana asubuhi mjini Zanzibar kutokana na matatizo ya uzazi.
Waombolezaji wakitoa wakiswalia mwili wa aliyekuwa mwandishi wa habari za michezo wa Kampuni ya Uhuru Publications Ltd, Wachapishaji wa Magazeti ya Uhuru, Mzalendo na Burudani, Amina Athumani, wakati wa kuagwa mwili huo, Kipunguni, Dar es Salaam, leo, kabla ya kusafirishwa kwenda Lushoto mkoani Tanga kwa ajili ya mazishi.
Waombolezaji wakiombea dua mwili wa aliyekuwa mwandishi wa habari za michezo wa Kampuni ya Uhuru Publications Ltd, Wachapishaji wa Magazeti ya Uhuru, Mzalendo na Burudani, Amina Athumani, baada ya kuswaliwa, wakati wa kuagwa mwili huo, Kipunguni, Dar es Salaam, leo, kabla ya kusafirishwa kwenda Lushoto mkoani Tanga kwa ajili ya mazishi.
Waombolezaji wabeba sanduku lenye mwili wa aliyekuwa mwandishi wa habari za michezo wa Kampuni ya Uhuru Publications Ltd, Wachapishaji wa Magazeti ya Uhuru, Mzalendo na Burudani, Amina Athumani, kulipeleka kwenye basi, baada ya kuswaliwa, wakati wa kuagwa mwili huo, Kipunguni, Dar es Salaam, leo, kabla ya kusafirishwa kwenda Lushoto mkoani Tanga kwa ajili ya mazishi.
Waombolezaji wakiingiza kwenye basi sanduku lenye mwili wa aliyekuwa mwandishi wa habari za michezo wa Kampuni ya Uhuru Publications Ltd, Wachapishaji wa Magazeti ya Uhuru, Mzalendo na Burudani, Amina Athumani, baada ya kuswaliwa, Kipunguni, Dar es Salaam, leo, kwa ajili ya kusafirishwa kwenda Lushoto, Tanga. PICHA ZAIDI ZA MAOMBOLEZO/>BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages