.

POLISI WAFANYA UKAGUZI KATIKA KUTUO KIKUU CHA MABASI UBUNGO

Jan 14, 2017

Mkaguzi wa Magari wa Jeshi Polisi, Ibrahim Samwi, akikagua basi la yenye namba za usajili T 735 DFX Polisi walipofanya ukaguzi wa mabasi mbalimbali yandayo mikoani na baaadhi ya nchi za nje, katika Kikituo Kikuu cha mabasi hayo cha Ubungo jijini Dar es Salaam. PICHA ZAIDI/>BOFYA HAPA

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช