.

SABODO: UKARIBU WANGU NA MWALIMU NYERERE ULIOKOA TAIFA

Jan 11, 2017

Mwandishi Maalum

Jina la mfanyabishara maarufu la Mustafa Jaffer Sabodo, siyo geni linapotajwa katika masikio ya Watazania walio wengi.

Hii ni kutokana na mchango wake kwa jamii katika kuliondoa taifa kutoka sehemu moja ya chini kwenda juu, yaani maendeleo.

Sabodo mfanyabiashara maarufu ambaye ni Mtanzania mwenye asili ya Kiasia amekuwa akitoa mchango kwa maendeleo ya Taifa katika nyanja mbalimbali kuanzia za uchumi, siasa, elimu, afya, maji na..Inaendelea/>BOFYA

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช