.

UJUMBE WA IDARA YA SIASA NA UHUSIANO WA KIMATAIFA WAKUTANA NA BALOZI WA CHINA JIJINI DAR ES SALAAM, LEO

Jan 23, 2017

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM anayesimamia Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), Kanali Mstaafu, Gemela Lubinza na Ujumbe wake wakiwa na Balozi wa China hapa nchini, Dk. Lu Young alipoenda katika Ofisi za Ubalozi huo jijini Dar es Salaam, leo kwa ajili ya mazungumzo ya kikazi. Kulia ni Katibu Msaidizi Mkuu (SUKI)Juliana Chitinka na kushoto ni Katibu Msaidizi katika Idara hiyo,  Daniel George.(Picha kwa hisani ya Ubalozi wa China)

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช