Waziri wa
Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mwigulu Nchemba akikagua silaha haramu
zilizoandaliwa kwa ajili ya kuteketezwa wakati wa zoezi la uteketezaji
wa Silaha hizo lililofanyika mkoani Kigoma ambapo jumla ya Silaha haramu
5,608 zimeteketezwa na Jeshi la Polisi ikiwa ni juhudi za Serikali
katika kupambana na uzagaaji wa Silaha haramu hapa Nchini ambazo
zimekuwa zikitumika katika matukio mbalimbali ya kihalifu.
Silaha
haramu zikiwa zimepangwa katika uwanja wa Lake Tanganyika tayari kwa
uteketezaji wakati wa zoezi hilo lililofanyika mkoani kigoma ambapo
jumla ya Silaha haramu 5,608 zimeteketezwa na Jeshi la Polisi ikiwa ni
juhudi za Serikali katika kupambana na uzagaaji wa Silaha haramu hapa
Nchini ambazo zimekuwa zikitumika katika matukio mbalimbali ya kihalifu.
Waziri wa
Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mwigulu Nchemba (wa pili kulia) akiangalia silaha aina ya
SMG iliyotengenezwa kienyeji ambayo ni mojawapo ya Silaha
zilizoteketezwa wakati wa zoezi la uteketezaji wa Silaha haramu
lililofanyika mkoani Kigoma ambapo jumla ya Silaha haramu 5,608
zimeteketezwa na Jeshi la Polisi ikiwa ni juhudi za Serikali katika
kupambana na uzagaaji wa Silaha haramu hapa Nchini ambazo zimekuwa
zikitumika katika matukio mbalimbali ya kihalifu.
Waziri wa
Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mwigulu Nchemba akibonyeza kifaa maalumu
kwa ajili ya kuwasha moto wa uteketezaji wa Silaha haramu wakati wa
zoezi la kuteketeza Silaha haramu lililofanyika mkoani Kigoma ambapo
jumla ya Silaha haramu 5,608 zimeteketezwa na Jeshi la Polisi. Kushoto ni
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Brigedia Generali Emmanuel Maganga
Silaha
haramu zikiwaka moto wakati wa zoezi la kuteketeza Silaha haramu
lililofanyika mkoani kigoma ambapo jumla ya Silaha haramu 5,608
zimeteketezwa na Jeshi la Polisi ikiwa ni juhudi za Serikali katika
kupambana na uzagaaji wa Silaha haramu hapa mchini ambazo zimekuwa
zikitumika katika matukio mbalimbali ya kihalifu.
Waziri wa
Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mwigulu Nchemba akizungumza na wakazi wa
mkoa wa kigoma waliojitokeza kushuhudia zoezi la kuteketeza Silaha
haramu lililofanyika mkoani Kigoma ambapo jumla ya Silaha haramu 5,608
zimeteketezwa na Jeshi la Polisi ikiwa ni juhudi za Serikali kupambana
na uhalifu hapa nchini(Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi).
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269