.

JE UNAJUA KUWA MYWAJI WA BIA ANATAKIWA KUNYWA CHUPA MOJA KWA SAA MOJA?

Feb 6, 2017


Kwa unajua kuwa wanaotumia vilevi kama bia, kiafya wanatakiwa kunywa chupa moja ya kilevi hicho cha aina ya bia kwa saa moja?
Kama, hujui tafadhali msikiliza mtaalam Daktari wa Afya ya Jamii na Familia Dk. Ali Mzige kwenye video hiyo akizungumza na The Beauty TV juu ya suala hilo na usisahau ku-subscribe kupata updates zaidi. 

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª