.

KANALI MSTAAFU NGEMELA LUBINGA AZURU UHURU NA MZALENDO NA UWT LEO

Feb 23, 2017

Katibu wa NEC, anayeshughulikia Siasa na Uhusiano wa Kimataifa CCM, Kanali Mstaafu, Gemela Lubinga leo amefanya ziara katika Taasisi za CCM,  Kampuni ya Uhuru Publications Ltd, Wachapishaji wa Magazeti ya Uhuru, Mzalendo na Burudani, na Makao Makuu ya Jumuia ya wanawake jijini Dar es Salaam, ambazo amejitambulisha kwa viongozi wa Taasisi hizo na kusikiliza changamoto zinaziokabili taasisi hizo katika utendaji. Pichani, Kanali Lubinga akiwa katika chumba cha Habari cha Uhuru Publications Ltd akifuatana na Kaimu Mhariri Mtendaji wa kampuni hiyo Ramadhani Mkoma na baadhi ya viongozi wa kampuni. Zifuatazo ni picha mbalimbali akiwa Uhuru na baadaye UWT. 
Kanali Mstaafu Lubinga akiondoka Ofisi za UPL, CHINI NI PICHA AKIWA OFISI ZA UWT🔻

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª