.

KINANA AKUTANA NA WAZIRI MKUU MAJALIWA, LUMUMBA JIJINI DAR ES SALAAM, LEO

Feb 18, 2017

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimpokea Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa, alipowasili katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo, Februari 18, 2017, kwa ajili ya mazungumzo baina yao
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwa na Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa, alipowasili katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo, Februari 18, 2017, kwa ajili ya mazungumzo baina yao
Wakienda eneo la kufanyia mazungumzo
Wakiwasili eneo la mazungumzo Ofisini kwa Katibu Mkuu wa CCM.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia) akizungumza na Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Feb 18, 2017.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimsindikiza mgeni wake, Waziri Makuu Majaliwa Kassim Majaliwa aliyekwa akiondoka baada ya mazungumzo yao, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimsindikiza mgeni wake, Waziri Makuu Majaliwa Kassim Majaliwa aliyekwa akiondoka baada ya mazungumzo yao.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimuaga mgeni wake, Waziri Makuu Majaliwa Kassim Majaliwa aliyekwa akiondoka baada ya mazungumzo yao.
Waziri Mkuu akienda kupanda gari lake tayari kuondoka kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, baada ya mazungumzo na Kinana (kulia)
Gari la Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa likiondoka Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba. (Picha zote na Bashir Nkoromo)

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช