Breaking News

Your Ad Spot

Feb 6, 2017

WAZIRI MWIGULU AFANYA MAZUNGUMZO NA MWAKILISHI MKAZI WA SHIRIKA LA WAKIMBIZI


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, akizungumza na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Wakimbizi(UNHCR), Chansa Kapaya(kushoto), alipofika ofisini kwake  kujadili masuala ya wakimbizi wanaohifadhiwa  katika kambi mbalimbali nchini Tanzania. Mazungumzo hayo yamefanyika jijini Dar es Salaam.
Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Wakimbizi(UNHCR), Chansa Kapaya(kushoto), akizungumza na Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, alipofika ofisini kwa waziri  kujadili masuala ya wakimbizi wanaohifadhiwa  katika kambi mbalimbali nchini Tanzania. Mazungumzo hayo yamefanyika leo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, akiagana na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Wakimbizi (UNHCR), Chansa Kapaya (kushoto), baada ya kumaliza mazungumzo yaliyofanyika ofisini kwa waziri huyo, kujadili masuala  ya wakimbizi wanaohifadhiwa katika kambi mbalimbali nchini Tanzania. Mazungumzo hayo yamefanyika  jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, akiwa katika picha ya pamoja na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Wakimbizi (UNHCR), Chansa Kapaya (kushoto), baada ya kumaliza mazungumzo yaliyofanyika ofisini kwa waziri huyo, kujadili masuala  ya wakimbizi wanaohifadhiwa katika kambi mbalimbali nchini Tanzania. Kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Wakimbizi kutoka wizarani hapo, Harrison Mseke. Mazungumzo hayo yamefanyika jijini Dar es Salaam loe.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages