.

DK SHEIN AENDA ZIARA MAALUM YA SIKU 14 NCHINI UINGEREZA

Jul 7, 2017

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akiagana na ​Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alipokuwa akiondoka nchini jana kwenda Nchini Uingereza kwa ziara ​maalum ya wiki​ mbili
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Viongozi mbali mbali wa Chama na Serikali alipokuwa akiondoka nchini kwa ajili ya ziara hiyo.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akiagana na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi  Ayoub Mohamed Mahmoud 

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª