Breaking News

Your Ad Spot

Jul 9, 2017

RAIS MSTAAFU BENJAMIN MKAPA AWASILI CHATO KWA AJILI YA KUKABIDHI NYUMBA 50 ZA WATUMISHI WA AFYA KATIKA MIKOA YA SIMIYU, KAGERA NA GEITA

 Rais Dk. John Pombe Magufuli akimkaribisha Rais mstaafu wa awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa Ikulu ndogo ya Chato mkoani Geita. Mkapa kesho anatarajiwa kukabidhi nyumba 50 za watumishi wa sekta ya Afya zilizojengwa na Taasisi yake ya Mkapa Foundation katika mikoa ya Simiyu, Kagera na Geita.
 Rais Dk. John Pombe Magufuli akimkaribisha Rais mstaafu wa awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa Ikulu ndogo ya Chato mkoani Geita. Mkapa kesho anatarajiwa kukabidhi nyumba 50 za watumishi wa sekta ya Afya zilizojengwa na Taasisi yake ya Mkapa Foundation katika mikoa ya Simiyu, Kagera na Geita. Kushoto ni Mama Janeth Magufuli.
 Rais  Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi wa Japan hapa nchini Masaharu Yoshida aliyea Chato mkoani Geita leo kwa ajili ya kukabidhi kesho mtambo wa kukamua Mafuta ya Alizeti (Double Refine) uliojengwa Chato mkoani Geita kwa Msaada wa Serikali ya Japan.
 Rais Dk. John Pombe Magufuli akimkaribisha kwabashasha Rais mstaafu wa awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa nyumbani kwake, Ikulu ndogo Wilayani Chato mkoani Geita
 Rais Dk. John Pombe Magufuli akiwa na wageni wake
 Rais Dk. John Pombe Magufuli akiwa na Rais mstaafu wa awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa pamoja na wageni mbalimbali waliofika Chato kwa ajili ya shughuli mbalimbali za kimaendeleo zinazotarajiwa kufanyika kesho. PICHA: IKULU

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages