.

WAYNE ROONEY KUTUA BONGO KESHO AKIWA NA EVERTON

Jul 11, 2017

Wayne Rooney
Siku moja baada ya Wayne Rooney kutangazwa kujiunga na Everton FC ambayo ni timu yake ya utotoni akitokea Man United kama mchezaji huru, baadhi ya mashabiki wa soka Tanzania walikuwa wakihisi kwamba huenda Rooney asije Tanzania katika mchezo dhidi ya Gor Mahia.

Wengi walihisi hivyo na kudhani kuwa Rooney anaweza akapewa mapumziko au asije mechi ya Tanzania akaungana na wenzake katika mechi ya pili ya Everton ya maandalizi ya msimu dhidi ya FC Twente ya Uholanzi lakini leo imethibitika kuwa Rooney anakuja Tanzania...READ MORE

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช