Breaking News

Your Ad Spot

Jul 24, 2017

WAZIRI MKUU AKUMBANA NA AJALI YA LORI BARABARANI

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa  akipenya  ili kuvuka  katika daraja la mto Songwe kwenye mpaka wa  mikoa ya Mbeya na Songwa  baada ya Lori lililokuwa limebeba vinywaji baridi   kupinduka katika  daraja hilo na kuziba barabara.   Ajali hiyo ilisababisha msururu mrefu wa magari  yaliyokuwa yakitoka Tunduma na yale yaliyokuwa yakitoka Mbeya Julai 24, 2017
 Msururu wa magari uliosababishwa na  ajali ya lori lililopinduka  kwenye daraja la mto Songwe katika barabara Mbeya- Tunduma Julai 24, 2017. Lori hilo lilikuwa limebeba vinywaji baridi.
Msururu wa magari uliosababishwa na  ajali ya lori lililopinduka  kwenye daraja la mto Songwe katika barabara Mbeya- Tunduma Julai 24, 2017. Lori hilo lilikuwa limebeba vinywaji baridi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages