.

KIONGOZI UVCCM AKAMATWA NA POLISI AKIDAIWA KUJIFANYA OFISA USALAMA WA TAIFA

Aug 10, 2017

Habari kutoka Mkoa wa Arusha zinasema Jeshi la Polisi Mkoani Arusha linamshikilia Mwenyekiti wa UVCCM  Sabaya ambae pia ni Diwani kwa tuhuma za kughushi na kujifanya mtumishi wa Idara ya Usalama na kutapeli watu mbalimbali. Hii ni mara ya pili kwa Kiongozi huyo kukamatwa akihusishwa na tukio hilo hilo

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª