.

MKURUGENZI UUGUZI HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI AFUNGA KONGAMANO LA KISAYANSI

Aug 10, 2017

Mkurugenzi wa Huduma za Uuguzi, Ukunga na Mazingira ya ndani ya Hospitali ya Taifa Muhimbili,  Agnes Mtawa akifunga Kongamano la Kisayansi lililoandaliwa na Chama Cha Wakunga Tanzania (TAMA), Tawi la Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kushirikiana na Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) wakati wa maadhimisho ya siku ya wakunga Duniani katika Wiki ya Unyonyeshaji. (PICHA ZOTE NA  KHAMISI MUSSA)

Kaimu Mwenyekiti wa Tawi la Wakunga Muhimbili (MOI, MNH NA JKCI) Elizabeth Thawe (kushoto) akisikiliza kwa umakini akiwa na wenzake
Kaimu Mkurugenzi Huduma za Uuguzi Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Robert Aloyce (wa pili kulia) akiingia Ukumbini wakati wa Maadhimisho ya siku ya mkunga duniani, Dar es Salaam kabla ya kufungwa kongamano hilo na Mkurugenzi wa Huduma za Uuguzi, Ukunga na Mazingira ya ndani ya Hospitali ya Taifa Muhimbili,  Agnes Mtawa ambalo lilifuatiwa na Kongamano la Kisayansi kabla ya kufungwa na Mkurugenzi wa Huduma za Uuguzi, Ukunga na Mazingira ya ndani ya Hospitali ya Taifa Muhimbili,  Agnes Mtawa, kulia ni Mwenyekiti wa Chama Cha (TAMA) Tawi la Hospitali ya Taifa Muhimbili, Priscillah 
Badhi ya wa Wauguzi wakipiga makofi wakialipokuwa akiingia Kaimu Mkurugenzi Huduma za Uuguzi Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwe
Mwenyekiti wa Chama Cha (TAMA) Tawi la Hospitali ya Taifa Muhimbili, Priscillah (kushoto) akisalimia na kuwakaribisha wadau katika Kongamano hilo ambapo alitowa utambulisho mfupi, kulia ni Hilda Kwezi
Kaimu Mkurugenzi Huduma za Uuguzi Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Robert Aloyce (wa pili kulia) akizungumza jambo wakati wa kongamano hilo
Mwenyekiti wa Chama Cha (TAMA) Tawi la Hospitali ya Taifa Muhimbili, Priscillah (kushoto) akimpongeza, Kaimu Mkurugenzi Huduma za Uuguzi Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Robert Aloyce mara baada ya kuongea na wadau
Mshereheshaji,  Mahawa Assenga akijituma 
Wauguzi wakijisajili katika Daftari maalum
Makamu wa Rais Chama Cha Wakunga Tanzania Taifa, Loveluck Mwasha akitowa mada wakati wa Kongamano la Kisayansi lililoandaliwa na Chama hicho  (TAMA), Tawi la Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kushirikiana na Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI

Wwauguzi wakifurahia jambo
Afisa Muuguzi Msaidizi, Mshauri Nasaha na Mpimaji wa Saratani ya Mlango wa Kizazi na Matiti, Matilda Mriwa (kushoto), akipiga makofi akiwa na wauguzi wenzake katika  Maadhimisho ya siku ya Wakunga Duniani na kupata kuhuma bure

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª