.

NAIBU KATIBU MKUU WA CCM BARA NDG: RODRICK MPOGORO AFUNGUA MAFUNZO ELEKEZI KWA MAKATIBU WA UVCCM MIKOA YA TANZANIA BARA NA VISIWANI

Aug 28, 2017


Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Rodrick Mpogoro akifungua Mafunzo elekezi kwa Makatibu wa Umoja wa Vijana wa CCM mikoa ya Tanzania Bara na Visiwani katika ukumbi wa Kamati Kuu Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es salaam.
 Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM  Sadifa Juma Khamisi akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo elekezi kwa makatibu wa umoja wa Vijana wa CCM mikoa ya Tanzania bara na Visiwani katika ukumbi wa kamati kuu ofisi ndogo ya CCM Lumumba Dar es salaam
 Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Shaka Hamdu Shaka akizungumza katika Mafunzo hayo


washiriki wa mafunzo elekezi wakifuatilia mafunzo
Mshiriki Katibu wa umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Kilimanjaro Abdulrahim Hamid akiuliza swali wakati wa Mafunzo elekezi kwa makatibu wa umoja wa Vijana wa CCM mikoa ya Tanzania Bara na Visiwani katika ukumbi wa kamati kuu ofisi ndogo ya Ccm Lumumba dar es salaa.(PICHA ZOTE NA FAHADI SIRAJI)

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช