Breaking News

Your Ad Spot

Aug 21, 2017

POLEPOLE AFANYA MAZUNGUMZO NA KAIMU BALOZI WA MAREKANI HAPA NCHINI TANZANIA, LEO

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Humphrey Poloepole akizungumza na Kaimu Balozi wa Marekani hapa nchini Inmi Petterson, katika ukumbi wa Sekretarieti, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es Salaam, leo, Agosti 21, 2017.
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Humphrey Poloepole akilipokuwa akimkaribisha Kaimu Balozi wa Marekani hapa nchini Inmi Petterson, katika ukumbi wa Sekretarieti kwa ajili ya mazungumzo, baada ya kuwasili Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es Salaam, leo, Agosti 21, 2017. Picha zote na Bashir Nkoromo. PICHA ZAIDI>BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages