.

RAIS DK. MAGUFUKI AMEFUTA MASHAMBAPORI ZAIDI YA HEKARI 15,000 MOROGORO

Aug 14, 2017

Miongoni mwa mashamba hayo yapo ya familia ya Waziri Mkuu wa zamani Mhe. Fedrick Sumaye ambayo yalikuwa yanamilikiwa na Mke wake Ester Sumaye lenye hekari 473 yaliyopo Mvomero Mkoani Morogoro.

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi ameyataja Mashamba 30 ambayo yamefutwa tangu 2003 hadi 2017, yakiwemo 14 katika awamu hii ya tano na 16 katika awamu ya nne.

Waziri Lukuvi amesisitiza kuwa ufutaji wa Mashamba pori ambayo hayajaendelezwa na wakati huohuo yamekuwa kero kwa wananchi walio wengi ambao wanahitaji yataendelea kubatishwa bila kujali jina, cheo, Kabila au dini ya mtu.

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช