.

RAIS DK. MAGUFULI AMTEUA LUTENI KANALI MILANZI KUWA KAMISHNA WA OPERESHENI MAMLAKA YA KUZUIA NA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA

Aug 23, 2017

Ikulu, Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 23 Agosti, 2017 amemteua Luteni Kanali Frederick Felix Milanzi kuwa Kamishna wa Operesheni wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya.

LuteniKanali Frederick Felix Milanzi anachukua nafasi ya Bw. Mihayo Msikela ambaye amerejeshwa Makao Makuu yaPolisi. Uteuzi wa Luteni Kanali Frederick Felix Milanzi unaanza maramoja.

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช