.

TUGHE TAWI LA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI LAMPONGEZA MKURUGENZI MTENDAJI, PROFESA , LAWRENCE MUSERU

Aug 14, 2017

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Lawrence Museru akizungumza na wafanyakazi Bora 2017  kabla ya kuwakabidhi vyeti wafanyakazi hao.
 Mwenyekiti wa Tughe  Tawi la  Hospitali ya Taifa Muhimbili, Mziwanda Chimwege (kulia) akisoma risala mbele ya mgeni rasmi ambaye alikuwa ni, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Lawrence Museru (katikati)   wakati wa kuwapongeza wafanyakazi Bora wa 2017. kushoto ni Mkurugenzi wa Raslimali Watu wa Hospitali hiyo, Makwaia Makani....inaendelea/>Bofya

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª