UTEUZI WA
MADIWANI WANAWAKE WA VITI MAALUM
Kwa Mujibu wa Kifungu cha 86A (8) cha Sheria ya Uchaguzi ya Serikali
za Mitaa, Sura ya 292, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) katika kikao chake cha
kawaida kilichofanyika leo tarehe 21 Agosti, 2017 na baada ya kushauriana na
Vyama vya Siasa imewateua Madiwani Wanawake wa Viti Maalum kumi na wawili (12) kujaza
nafasi wazi za Madiwani katika Halmashauri mbalimbali Tanzania Bara.
Madiwani Wanawake wa Viti Maalumu walioteuliwa ni kama
ifuatavyo:
NA.
|
JINA
|
CHAMA
|
HALMASHAURI
|
|
Ndugu
Saida Idrisa Kiliula
|
CUF
|
Halmashauri
ya Wilaya ya Kilwa
|
|
Ndugu
Sophia Charokiwa Msangi
|
CCM
|
Halmashauri
ya Wilaya ya Mwanga
|
|
Ndugu
Shahara Selemani Nduvaruva
|
CCM
|
Halmashauri
ya Wilaya ya Mbarali
|
|
Ndugu
Neema K. Nyangalilo
|
CCM
|
Halmashauri
ya Manispaa ya Ilala
|
|
Ndugu
Farida Zaharani Mohamed
|
CCM
|
Halmashauri
ya Wilaya ya Mvomero
|
|
Ndugu
Lucia Silanda Kadimu
|
CCM
|
Halmashauri
ya Wilaya ya Tabora (Uyui)
|
|
Ndugu
Amina Ramshi Mbaira
|
CCM
|
Halmashauri
ya Wilaya ya Nanyumbu
|
|
Ndugu
Janeth John Kaaya
|
CHADEMA
|
Halmashauri
ya Wilaya ya Meru
|
|
Ndugu
Sara Abdallah Katanga
|
CHADEMA
|
Halmashauri
ya Manispaa ya Ilala
|
|
Ndugu
Ikunda Massawe
|
CHADEMA
|
Halmashauri
ya Wilaya ya Hai
|
|
Ndugu
Tumaini Wilson Masaki
|
CHADEMA
|
Halmashauri
ya Wilaya ya Siha
|
|
Ndugu
Elizaberth Andrea Bayyo
|
CHADEMA
|
Halmashauri
ya Mji wa Mbulu
|
Uteuzi huu umefanyika baada ya kupokea taarifa kutoka kwa
Waziri mwenye dhamana ya Serikali za Mitaa ambaye kwa kuzingatia masharti ya
kifungu cha 13(1) cha Sheria ya Uchaguzi ya Serikali za Mitaa, Sura ya 292
alitaarifu Tume ya Taifa ya Uchaguzi uwepo wa nafasi hizo wazi.
Imetolewa leo tarehe 21
Agosti, 2017
Kailima, R. K
MKURUGENZI WA UCHAGUZI
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269