Breaking News

Your Ad Spot

Aug 14, 2017

WAZIRI MWAKYEMBE AKUTANA NA UJUMBE WA WATAALAMU KUTOKA MOROCCO KWA AJILI YA SHUGHULI ZA AWALI ZA UJENZI WA ENEO CHANGAMANI LA MICHEZO



Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na  Michezo  Mhe.Dk.Harrison Mwakyembe  akizungumza  na  ujumbe wa wataalamu kutoka Morocco waliofika  Mkoani  Dodoma kwa ajili ya kuanza shughuli za awali za ujenzi  wa  eneo  changamani  la Michezo .Kushoto kwa Waziri ni Mkurugenzi wa Michezo wa Wizara hiyo Bw.Yusuph Singo

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na  Michezo  Mhe.Dk.Harrison Mwakyembe akiwa katika picha ya pamoja na wataalamu kutoka Morocco waliofika Mkoani Dodoma kwa ajili ya kuanza shughuli za awali za ujenzi wa eneo changamani la Michezo.Wengine pichani  ni  Mkurugenzi wa Michezo wa Wizara hiyo Bw.Yusuph Singo na wa kwanza kulia ni Mkurugenzi wa Sera na Mipango Bw.Petro Lyatuu.Picha zote na Daudi Manongi,MAELEZO,DODOMA.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages