Breaking News

Your Ad Spot

Sep 2, 2017

RAIS DK. MAGUFULI AZUNGUMZA NA VIONGOZI MBALIMBALI WA ULINZI NA USALAMA WASASA NA WASTAAFU

 Rais Dk. John Magufuli akizungumza na viongozi wa sasa na wastaafu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama, Ikulu jijini Dar es Salaam
 Rais Dk. John Magufuli akiwa na viongozi wa sasa na wastaafu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama, baada ya kuzungumza nao, Ikulu jijini Dar es Salaam
 Rais Dk. John Magufuli akiwa na viongozi wa sasa na wastaafu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama, baada ya kuzungumza nao, Ikulu jijini Dar es Salaam
 Rais Dk. John Magufuli akiwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro, IGP Mstaafu Omar Mahita, IGP Mstaafu Said Mwema, na IGP Mstaafu Ernest Mangu, baada ya mazungumzo hayo, Ikulu jijini Dar es Salaam
 Rais Dk. John Magufuli akicheka na IGP Mstaafu Omar Mahita baada ya picha ya pamoja.
 Rais Dk. Magufuli akizungumza na Ma-IGP wastaafu Omari Mahita na Saidi Mwema
 Vicheko vya furaha vikitawala
 Wewe ndiyo Mahita. Inaelekea Rais Dk Magufuli alisema hivyo

 Rais Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Cornel Apson na Mkuu wa Jeshi la Polisi Mstaafu Omar Mahita Ikulu jijini Dar es Salaam
Rais Dk. John Magufuli akiwa na viongozi wa sasa na wastaafu wa Magereza Ikulu jijini Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages