Breaking News

Your Ad Spot

Sep 16, 2017

ROMA NA STAMINA WALIVYOFUNIKA TAMASHA LA FIESTA MJINI MSOMA

Wasanii wa muziki wa kizazi kipya Roma Mkatoliki na Stamina(Rostam) wakitumbuiza kwenye uwanja wa Karume mjini Musoma Mkoa wa Mara, kwenye tamsha la Fiesta usiku wa kuamkia jana.

Meneja wa Kampuni ya mtandao wa simu za mkononi Tigo kanda ya Ziwa Edgar Mapande,akizungumza na waandishi wa habari, kwenye uwanja wa Karume mjini Musoma Mkoa wa Mara,kwenye uzinduzi wa tamsha la Fiesta usiku wa kuamkia jana
Fareed Kubanda "Fid q akitumbuiza katika jukwaa la Fiesta katika uwanja wa Karume mkoani Mara.
Jux akitumbuiza maelfu ya wakazi wa Musoma Katinka jukwaa la Fiesta 
Mr Blue naye alikuwa katika list ya wasanii walitoa burudani katika jukwaa la  Fiesta .
Nandy akitumbuiza kaaika jukwaa la Fiesta mapema jana katika uwanja wa karume Mkoani Mara.
Mkuu wa Mkoa wa Mara Dk Charles Mlingwa(aliyevaa koti la suti) akizindua tamasha la Fiesta, kwenye uwanja wa Karume mjini Musoma Mkoani humo usiku wa kuamkia jana .
Mkuu wa Mkoa wa Mara Dk Charles Mlingwa(aliyevaa koti la suti) akicheza mziki wakati wa uzinduzi wa tamasha la Fiesta, kwenye uwanja wa Karume mjini Musoma Mkoani humo usiku wa kuamkia jana .
Msanii wa nyimbo za kitamaduni Saida Karoli, akitumbuiza kwenye uwanja wa Karume mjini Musoma Mkoa wa Mara,kwenye tamsha la Fiesta usiku wa kuamkia jana .
Msanii wa nyimbo za kitamaduni Saida Karoli, akitumbuiza kwenye uwanja wa Karume mjini Musoma Mkoa wa Mara,kwenye tamsha la Fiesta usiku wa kuamkia jana

Weusi wakitumbuiza kaaika jukwad la Fiesta
Chege akilishambulia jukwad la Fiesta usiku wa kuamkia leo mjini Musoma
Wakazi wa Musoma mjini na maeneo ya jirani wakifurahia burudani ya tamasha la Fiesta, kwenye uwanja wa Karume mkoani Mara usiku wa kuamkia jana.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages