Katibu wa Chama cha Riadha Mkoa wa Dodoma Robert Mabonye , Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana ,Kaimu Meneja wa Tigo Kanda ya Kaskazini Henry Kinabo na Mkurungenzi Mtendaji wa Vision Investment, Ally Nchahaga wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuzungumza na waandishi wa habari katika uzinduzi rasmi wa mbio ndefu za Dodoma almaarufu Dodoma Marathon. Mbio hizo zimethaminiwa na Tigo Tanzania na zinatarajiwa kufanyika jijini Dodoma mwezi Novemba mwaka huu.
|
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269