.

LOWASSA ATUA MIKONONI MWA RAIS DK. MAGUFULI LEO, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Jan 9, 2018

 Rais Dk. John Magufuli akizungumza na Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa, Waziri Mkuu wa zamani alipoenda Ikulu jijini Dar es Salaam, leo. Lowassa kwa sasa ni mwanachama wa Chadema, ambaye alijiunga na chama hicho baada ya kujiondoa CCM wakati wa vuguvugu la Uchaguzi Mkuu uliopita ambapo aligombea Urais kwa tiketi ya Chadema kikiwa katika muavuli ushirikiano wa baadhi ya vyama vya upinzani ulioitwa UKAWA 
 Lowassa akiwasili Ikulu, leo
 Lowassa akiwa ameketi Ikulu wakati akimsubiri mwenyeji wake Rais Dk John Magufuli
 Rais Dk. John Magufuli na Lowassa wakifurahi baada ya mazungumzo yao
 Rais Dk John Magufuli na Lowassa wakiwa mbele ya waandishi kutoka nvyombo mbalimbali vya habari baada ya mazungumzo yao
Rais Dk John Magufuli na Lowassa wakiagana baada ya mazungumzo yao. PICHA NA IKULU

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª