.

SHEREHE ZA MIAKA 54 YA MAPINDUZI ZANZIBAR ZAFANA LEO

Jan 12, 2018

Rais wa Zanzibar Dk.  Ali Mohamed Shein akiingia Uwanja wa Amaan mjini Zanzibar kuongoza Sherehe za maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar, leo.
Rais wa Zanzibar Dk.  Ali Mohamed Shein akikagua gwaride katika Uwanja wa Amaan mjini Zanzibar alipongoza Sherehe za maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar, leo.
Rais wa Zanzibar Dk.  Ali Mohamed Shein akipokea salam za heshima za gwaride katika Uwanja wa Amaan mjini Zanzibar alipoongoza Sherehe za maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar, leo.
Rais wa Zanzibar Dk.  Ali Mohamed Shein akimsalimia Rais Dk.  John Magufuli katika  Uwanja wa Amaan mjini Zanzibar alipoongoza Sherehe za maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar, leo.


0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª