Breaking News

Your Ad Spot

Jan 7, 2018

UFUNGUZI WA BARABARA YA FUONI MELI TANO KWARARA ZANZIBAR WAFANYIKA

 Makamo wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt,Muhammed Gharib Bilal alipokata utepe kuashiria kufungua Barabara ya Kilomita Mbili ya Fuoni Meli Tano Kwarara.Ikiwa Shamra Shamra za Maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.kushoto yake ni Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Baloz Ali Abeid Karume
 Makamo wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt,Muhammed Gharib Bilal akikunjuwa kitambaa kuashiria kufungua Barabara ya Kilomita Mbili ya Fuoni Meli Tano Kwarara.Ikiwa Shamra Shamra za Maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
 Barabara ya Fuoni Meli Tano Kwarara yenye urefu wa kilomita mbili iliofunguliwa na Makamo wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt,Muhammed Gharib Bilal.Ikiwa Shamra Shamra za Maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
 Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria katika Ufunguzi wa  Barabara ya Kilomita Mbili ya Fuoni Meli Tano Kwarara.Ikiwa Shamra Shamra za Maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
 Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Baloz Ali Abeid Karume akitoa hotuba ya makaribisho kwa mgeni Rasmi katika Ufunguzi wa  Barabara ya Kilomita Mbili ya Fuoni Meli Tano Kwarara.Ikiwa Shamra Shamra za Maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Makamo wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt,Muhammed Gharib Bilal akisisitiza jambo alipotoa hotuba ya ufunguzi wa Barabara ya Kilomita Mbili ya Fuoni Meli Tano Kwarara.Ikiwa Shamra Shamra za Maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar. PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages