.

DK MWAKYEMBE ATEMBELEA OFISI ZA GAZETI LA UHURU LEO

Feb 16, 2018

 Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe  (mwenye suti) akiongozwa na Meneja rasilimali Watu ambaye pia ni Kaimu Mhariri Mtendaji wa Uhuru Publications Ltd, Wachapshaji wa Magazeti ya Uhuru, Mzalendo na Burudani Rhoda Kangero na baadhi ya viongozi wa kampuni hiyo kwenda ofisini alipowasili, leo
 Waziri wa Habari, Sanaa, Utamadini na Michezo Dk harrison Mwakyembe  (mwenye suti) akiongozwa na Meneja rasilimali Watu ambaye pia ni Kaimu Mhariri Mtendaji wa Uhuru Publications Ltd, Wachapshaji wa Magazeti ya Uhuru, Mzalendo na Burudani Rhoda Kangero kwenda ofisini alipowasili, leo. katikati ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) Hassan Abas
 Dk Mwakyembe akisalimia kaimu Mhariri wa Habari wa UPL Ndugu Mganga alipowasili UPL
 Dk Mwakenye akiendelea kusalimia badhi ya wafanyakazi wa UPL
 Dk Mwakenye akiendelea kusalimia badhi ya wafanyakazi wa UPL
 Dk Mwakenye akiendelea kusalimia badhi ya wafanyakazi wa UPL
 Dk Mwakyembe akipelekwa kwenye ofisi ya Mhariri Mtendaji wa UPL
 Dk Mwakenye akisaini kitabu cha wageni katika ofisi ya Mhariri Mtendaji wa UPL. Kulia ni Kaimu Mhariri Mtendaji wa UPL Rhoda Kangero
 Dk Mwakenye akisaini kitabu cha wageni katika ofisi ya Mhariri Mtendaji wa UPL. Kulia ni Kaimu Mhariri Mtendaji wa UPL Rhoda Kangero
 Kangero akitoa maelezo mafupi kwa Dk Mwakyembe kuhusu UPL. Kulia ni Dk Hassan Abas na baadhi ya viongozi wa UPL
 Badhi ya viongozi wa UPL
 Mtaalam wa Online ndugu Shechambo akifuatilia kwa makini mazungumzo ya Dk Mwakyembe katika ofisi ya Mhariri Mtendaji wa UPL
 Dk Mwakyembe akizungumza na uongozi wa UPL
 Dk Mwakyembe akiingia katika chumba cha habari cha UPL
 Akisalimia wafanyakazi
 Akisalimia wafanyakazi
 Akisalimia wafanyakazi
 Mhariri wa gazeti la Uhuru weekend jane Mihanji akizungumza jambo kumweleza Dk Mwakyembe. 
 Baadhi ya wafanyakazi wa UPL wakimsikiliza Dk Mwakyembe
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe (kulia) akizungumza na wafanyakazi wa UPL

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª