.

RAIS DK MAGUFULI AMTEUA PROF MAKENYA KUWA MWENYEKITI WA COSTECH

Feb 19, 2018

Ikulu, Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli amemteua Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. Makenya Abraham Honoratus Maboko kuwa Mwenyekiti waTume ya Sayansi naTeknolojiaTanzania (COSTECH), kuanzia leo Februari 19, 2018.

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช