.

SIXTUS MAPUNDA AMNADI MTULIA KWA KISHINDO KATA YA KINONDONI SHAMBA, LEO

Feb 13, 2018


  Mbunge wa Mbinga Mjini, Sixtus Mapunda (kushoto) akimnadi Mgombea Ubunge Jimbo la Kinondoni, Said Mtulia katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika leo Feb 13, 2018, katika Kata ya Kinondoni Shamba jijini Dar es Salaam.( PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO)
Mbunge wa Mbinga Mjini, Sixtus Mapunda (kushoto) akimnadi Mgombea Ubunge Jimbo la Kinondoni, Said Mtulia katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika leo Feb 13, 2018, katika Kata ya Kinondoni Shamba jijini Dar es Salaam
 Sixtus na Mtulia wakiselebuka Singeli baada ya Mtulia kupanda jukwaani kinadiwa
Mbunge wa Mbinga Mjini, Sixtus Mapunda akimnadi Mgombea Ubunge Jimbo la Kinondoni, Said Mtulia katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika leo Feb 13, 2018, katika Kata ya Kinondoni Shamba jijini Dar es Salaam
Mgombea ubunge wa CCM katika jimbo la Kinondooni Said Mtulia akisalimia wananchi wakati akinadiwa na Mbunge wa mbinga mjini Sixtus Mapunda katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika leo Feb 13, 2018, katika kata ya Kinondoni Shamba, jijini Dar es Salaam
Mbombea Ubunge kwa tiketi ya CCM katika uchaguzi mdogo jimbo la Kinondoni Sad Mtulia akiomba kura kwa wananch katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika kata ya Kinondoni Shamba jijini Dar es Salaam, leo Feb 213, 2018
Mbunge wa Mbinga mjini Sixtus Mapunda akitamba jukwaani kumuombea kura kwa wananchi mgombea wa CCM Said Mtulia katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika Kata ya Kinondoni Shamba, Dar es Salaam, leo Feb 13, 2018
Mbunge wa Mbinga mjini Sixtus Mapunda akisisitiza jambo jukwaani kumuombea kura kwa wananchi mgombea wa CCM Said Mtulia katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika Kata ya Kinondoni Shamba, Dar es Salaam, leo Feb 13, 2018
Baadhi ya Wabunge wakiwa jukwaaani kumuombea kura mgombea ubunge wa CCM Said Mtulia katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika leo katika Kata ya Kinondoni Shamba, leo Feb 13, 2018
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Kate kamba akimkaribisha jukwaani sixtus Mapunda
Mbunge wa Ilala Mussa Zungu akimuombea kura mgombea ubunge wa CCM Said Mtulia katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika leo Feb 13, 2018 katika Kata ya Kinondoni Shamba Dar es Salaam
Mwenyekiti wa Chipukizi wa CCM Taifa akimuombea kura mbombea Ubunge wa CCm Said Mtulia katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika leo Feb 13, 2018 katika Kata ya Kinondoni Shamba Dar es Salaam,.
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania, Sophia Simba akiwasili kwenye mkutano wa kampeni za CCM za kumnadi mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM uliofanyika leo katika Kata ya Kinondoni Shamba dar es Salaam, leo Feb 13, 2018
Mweneyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam Kate Kamba (kulia) akijadili jambo na Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM katika jimbo la Kinondoni Said Mtulia, wakati wa mkutano wa kampeni za CCm uliofanyika leo Feb 13, 2018 katika kata ya Kinondoni Shamba Dar es Salaam. katikati ni Mbunge wa Mbinga mjini Sixtus Mapunda
Mweneyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam Kate Kamba (kulia) akiwa na Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM katika jimbo la Kinondoni Said Mtulia (kushoto) baada ya kuwasili kwenye mkutano wa kampeni za CCm uliofanyika leo Feb 13, 2018 katika kata ya Kinondoni Shamba Dar es Salaam. katikati ni Mbunge wa Mbinga mjini Sixtus Mapunda
Kijana Amina Mohammed akionyesha umahiri wa kucheza danadana wakati wa mkutano wa kampeni za kumnadi mgombea Ubunge jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya CCM Said Mtulia uliofanyika leo Feb 13, 2018 katika kata ya Kinondoni Shamba dar es Salaam.
Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM jimbo la Kinondoni Said Mtulia akisalimiana kwa furaha na Mzee Maarufu wa Kata ya Kinondoni Shamba jijini Dar es Salaam,  Shaaban Uledi wakati akiingia kwenye eneo la mkutano wa kampeni uliofanyika katika kata hiyo leo Feb 13, 2018. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª