.

RAIS DK MAGUFULI AENDA MANYARA KILAZI LEO

Apr 6, 2018

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Marubani wa Ndege ya abiria ya ATCL wakati akienda kupanda ndege hiyo kwenda mkoani Kilimanjaro na badae mkoani Manyara kwa ajili ya shughuli mbalimbali za Kitaifa mkoani humo. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipanda ndege hiyo ya abiria ya Shirika la Ndege la ATCL kwenda mkoani Kilimanjaro na baadae mkoani Manyara. PICHA NA IKULU

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª