Breaking News

Your Ad Spot

May 10, 2011

ZIARA YA NAPE, CHILIGATI NA NCHEMBA SINGIDA YAANZA

Nape akihutubia mkutano wa hadhara viwanja vya Ushirika Ikungi nje ya mji wa Singida LEO 
Nape akikumbatiwa na  Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida  Joram Alute katika mapokezi ya , Ikunga. 
Chiligati alipungia mkono wananchi baada ya kuwasili na viongozi wa sekretarieti Ikunga, Singida. Kuhsoto ni Asha Juma abdallah, Mwenyekiti wa CCm mkoa wa Singida Joram Alute,   Mwiguku Nchemba na Nape.
kina Mama wa Ikungi wakisgangilia viongozi wa sekretarieti. 
Wana-CCM wakimsikiliza Nape, Ligwa Singida.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages