KINANA AMALIZA ZIARA WILAYA YA NZEGA KWA KUKAGUA MIRADI MUHIMU YA HUDUMA ZA JAMII NA MIKUTANO MIKUBWA YA HADHARA. KESHO KUANZA ZIARA WILAYA YA UYUI
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishuka kutoka juu ya tanki, wakati akikagua mradi wa maji wa Itobo, wilayani Nzega, leo Mei 1...