Breaking News

Your Ad Spot

Dec 16, 2009

DJ YOUNG KIM AAGA DUNIA

MMOJA wa MaDJ maarufu nchini Abdulkim Magomelop maarufu kwa jina la Young Kim, hat2naye tena. Ametangulia mbele za haki  tangu jana,  katika hospitali moja ya Manzese.
Kwa ufupi nduye muasisi wa kuvuma kwa burudani ya muziki wa madisko katika jiji la Dar es salaam, miaka ya 80, alipokuwa akipiga katika kumbi za Rungwe Oceanic na baadaye Moon Dust. Alikuwa mwanzilishi wea mashindano ya kwanza kabisha nchini ya kucheza disco yaliweza kuwaibuka kina Black Mosses (Narehemu) na Ommy Sidney. Ina Lillah Waina Ilayh Rajuun! au vipi?

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages