Breaking News

Your Ad Spot

Dec 8, 2009

MAKADA WA MREMA WAKIMBIA TLP NA KUJIUNGA CCM



KATIBU Mkuu wa CCM Yussuf Makamba akizungumza baada ya kuwapokea waliokuwa makada wa TLP. Wapili kulia ni Naibu Mkurugenzi wa Uchaguzi wa CCM, Matson Chizi


Aliyekuwa Katibu wa TLP mkoa wa Kilimanjaro
Aidan Majawanga na  Katibu Mwenezi wake Shabani Mtego kabla na baada ya kutangaza kujiunga CCM

Aidan Majawanga na Shabani Mtego wakiwa katika nguo za kijani za CCM



KATIBU Mkuu wa CCM Yussuf  Makamba akimkabidhi kadi ya CCM aliyekuwa Katibu wa TLP mkoa wa Kilimanjaro, Aidan Majawanga baada ya kutangaza kuhama TLP, jana katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam. Kushoto ni aliyekuwa  Katibu Mwenezi wa TLP, Kilimanjaro Shabani Mtego ambaye naye alijiunga na CCM katikla hafla hiyo.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages