RAIS Jakaya Kikwete akiwasalimia washiriki wa shindano la Miss East Africa, juzi,Ikulu, Dar es Salaam.
WASHIRIKI wa shindano la Miss East Africa, wakiwa katika viwanja vya Ikulu,Dar es Salaam, wakati wakimsubiri Rais Jakaya Kikwete kuzungumza nao chakula chja jioni.
RAIS Jakaua Kikwete na Mama Salma Kikwete na Waziri wa habari, Utamaduni na Michezo, Kapteni George Mkuchika, wakiwa katika picha ya pamoja na Waandaaji na washiriki wa Miss East Africa, Ikulu, Dar es Salaam, juzi.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269