Breaking News

Your Ad Spot

Dec 8, 2009

Rais Kikwete na Mwana-Blog we2


RAIS Jakaya Kikwete akisalimiana na Mwana-Blog Bashir Nkoromo, katika  hafla iliyofanyika Ikulu mjini Dar es Salaam, mwaka 2007. Mwana-Blog wetu ni Mpigapicha Mwandamizi wa Kampuni ya Uhuru Publications Ltd, Washapishajiu wa magazeti ya Uhuru, Mzalendo na Burudani.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages