WAOMBOLEZAJI wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya The Guaardian, Vumi Urasa, jana katika Kanisa la Kilutheri, Magomeni Mviringo, Dar es Salaam, jana. Anayepita mbele ya jeneza ni Meneja Utawala na Utumishi wa Kampuni ya Uhuru Publications Ltd, Washapishaji wa Magazeti ya Uhuru, Mzalendo na Burudani, Lucas Kisasa.
WAOMBOLEZAJI wakilia wakati wa kuaga mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya The Guardian,Vumi Urasa jana, katika katika la Kilutheri, Magomeni Mviringo, Dar es Salaam. (Na Mpigapicha Wetu).
Your Ad Spot
Dec 17, 2009
Tags
MSIBA WA URASA#
Share This
About Bashir Nkoromo
MSIBA WA URASA
Tags
MSIBA WA URASA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269