Breaking News

Your Ad Spot

Jan 4, 2010

AMIR MHANDO 'MGOSI' AFUNGA NDOA


MGOSI ambaye ni mpiganaji mjanja, Amiri Mhando, ambaye ni mhariri wa michezo wa gazeti la Habari Leo, akimnasa busu kipenzi cha roho yake 'wife' Mariam Nassor,  kwenye sherehe yao iliyofanyika katika ukumbi wa Vijana Kinondoni Dar. walimeremeta rasmi majuzi huko chake chake, pemba
Mr  n Mrs Mhando wakimwaga tabathamu

Me n Mrs Mhando wakisakata muziki
Mr n Mrs Mhando wakingia ukumbini huku wakimeremeta

Wadau wakiungana na Mr n Mrs Mhando kusakata nyuziki

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages