Breaking News

Your Ad Spot

Jan 1, 2010

JK AONGOZA KUAGA MWILI WA SIMBA WA VITA

JK na Mkewe akitoa heshima zamwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa Mzee Kawawa
JK na mkewe wakiwafariji wafiwaWAFIWA wakiwa katikashughuli8 ya kuaga mwili wa mpendwa wetu, Mzee Kawawa.
MMOJA wa waombolezaji akiangua kilio wakati wa kuaga
WANANCHI mbalimbali wakitoa heshima kwa jeneza lenye mwili wa simba wa vita ambaye mazishi yake yatafanyika kesho, Madale nje ya jiji la Dar es salaam.

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages