RAIS wa Zanzibar, Amani Abedi Karume akikagua gwaride lilioandaliwa kusherehekea miaka 46 ya Mapinduzi ya Zanzibar, leo katika Uwanja wa Gombani, Pemba (picha kwa hisani ya Mdau kutoka ofisi ya makamu wa Rais-Clerance Nanyaro
WANACAMA wa Chama cha Waendesha pikipiki Zanzibar wakishiriki katika maandamanao hayo. 
ASKARI walioshuriki gwaride katika sherehe hizo wakitoa heshima kwa Rais wa Zanzibar.
WAZIRI Kiongozi mstaafu, Dk.Mohamed Ghalib Bilal, na Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad ambaye amewahi pia kuwa Waziri Kiongozi wa Zanzibar, wakiwa katika sherehe hizo.