Breaking News

Your Ad Spot

Jan 5, 2010

MIAKA MINNE BAADA YA TUKIO LA DEREVA WA DALA2 KUFA KWA KUDAIWA KUPIGWA RISASI NA DITO MWAKA 2006



IKIWA sasa ni miaka minne tangu dereva wa daladala Mohamed Mbonde afariki mwaka 2006, kwa kudaiwa kupigwa risasi na aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Tabora, Ditopile Mzuzuri ambaye naye amekwishafariki dunia, watoto wa dereva huyo, Karim (15) na Abdul (11) aliowaacha, wameendelea na maisha ya uyatima. Pichani, Abdul (kushoto) akicheza na mtoto wa jirani yao, Musa Kassim (9), nyumbani kwao Kawe, Dar es Salaam, jana.


Karim na Abdul (kushoto) wakiwa wamepozi nyumbani kwao na rafiki yao

Karim (wapili kushoto) na Abdul kushoto) wakiuwa katika picha ya pamoja na  watoto majirani zao.
Karim na Abdul wakiupiga stori na Mwana-blog wako, nyumbani kwao Kawe.

Moihammed Mbonde aliyeuawa kwa risasi mwaka 2006

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages