Breaking News

Your Ad Spot

Jan 25, 2010

Msimba wa mtoto wa Fundikira

BBADHI ya waomboleaji wakiwa na ndugu, jamaa na marafiki wa marehemu Swetu Fundikira, aliyeaga dunia  kwa kile kinachosadikiwa ni kutokana na kipigo kutoka kwa watu wanaosemekana ni wanajeshi.


Mwenye bazee la Afrika Magharini ni kaka wa marehemu, Ismail Fundikira, akifuatiwa na Mshama Fundikira ambaye ndio kwanza amewasili toka Tabora.
Kulia ni Muhidin Issa Michuzi wa Issamichuzi.blogspot.com na mwandishi wa habari wa Uhuru na MzalendoSuleiman Jongo

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages