Breaking News

Your Ad Spot

Jan 26, 2010

ONGEZO LA HAMU YA KUCHEKA!

JUZIJUZI kulikuwa na semina mahali fulani jijini Dar es Ssalaam, ambapo wadaui wengi wa semina hiyo walikuwa watu kutoka taasisi zisizo za kiserikali yaani NGOs. nikajiwa na wazo kwamba kwenye mkutano huo ni sehemu nzuri ya kutangaza blog yagu au siyo?.
 Nikaandika http://www.bashir-nkoromo.blogspot.com/ kisha nikampatia aliyekuwa jirani yangu.
MIMI: Samahani chukua anuani hii ya Blog yangu.
YEYE: Akasoma kisha akanitazama na kusema " Ahaa! asnate sana kwa hiyo hii ndiyo NGO yako?

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages